Timu ya Yanga SC itecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chief katika mashindano ambayo yatakwenda kufanyika mwezi huu yaitwayo TOYOTA CUP kwa lengo la kujiandaa na pre-season kwa timu zote mbili.

Kufuatia shindano hiloo leo Rais wa yanga Engenier Hesri said aliudhuria mkutano huo na baadhi ya viongozi kutoka Kaizer Chief na kuweka mipango sawa kwajili ya shindano hilo.

Kumbuka timu hizi zilikutana mwaka jana kwenye tamasha la siku ya mwananchi mwaka ambapo Kaizer Chief nae amemualika Yanga SC 

Mbali timu ya Kaizer Chief kucheza na Yanga SC, mchezo mwingine Kaizer Chief watacheza na FC Augsburg 

Kumbuka timu ya Kaizer Chief saizi inafundishwa na Kocha wa zamani wa yanga NABII na saizi kikosi cha Kaizer Chief kipo Uturuki kwajili ya maandalizi msimu ujao lakini Mechi hii ya Yanga SC na kikosi cha Kaizer Chief watacheza Tarehe 28 mwezi huu

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement