Yanga imefanikiwa kurejea kwenye usukani wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Namungo FC magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi, hivyo kufikisha Pointi 46 na kuishusha Azam FC yenye alama 44

Magoli ya Yanga yamefungwa na Mudathir Yahya (54), Clement Mzize (57), Stephane Azizi Ki (62) wakati lile la Namungo ambayo ina pointi 23, likipatikana kupitia kwa Ibrahim Bacca ambaye alijifunga (69)

Hivyo, Yanga inaongoza ikiwa na michezo 17, Azam ina michezo 20, Simba ni ya Tatu ikiwa na pointi 36 katika michezo 16

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement