Casablanca wameshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.

Katika misimu mitano iliyopita klabu ya Wydad Casablanca ilifanikiwa kufika hatua mbalimbali ikiwemo nusu fainali.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement