Mshambuliaji wa Man City, Erling Haaland ameshinda kiatu cha dhahabu kwa kufunga magoli 27 kwenye Ligi Kuu England msimu huu.

Mshambuliaji wa Aston Villa ameshinda tuzo ya mchezeshaji bora wa Castrol (Castrol Golden playmaker) wa msimu baada ya kutoa pasi nyingi zaidi za magoli (13) msimu huu kwenye Ligi hiyo sambamba na kufunga magoli 19 ya Ligi.

Nyanda wa Arsenal, David Raya ameshinda tuzo ya golikipa bora wa msimu (Castrol Golden goalkeeper of the year) kwa kucheza mechi nyingi (16) bila kuruhusu bao (clean sheets) kwenye Ligi Kuu England msimu huu 2023/24.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement