Ramadhani Brothers washindi wa American Got Talent Fantacy League na washindi wa kwanza Barani Afrika kunyakua tuzo hii na kupitia kipindi cha kijiwe wanaelezea safari yao ya mchezo wa sarakasi.

Ramadhani Brothers wamenyakua Milioni 630 za Kitanzania kama zawadi ya mshindi kwnye American Got Talent Fantasy League

Usikose kufuatilia kipindi cha Kijiwe Leo Saa 1:30 usiku ili kufahamu mengi zaidi kuhusu Ramadhani Brothers na Safari yao ya Ubingwa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement