WANASOKA MAARUFU WA AFRIKA WANAOSHIRIKI LIGI YA BUNDESLIGA
Wanasoka wa Afrika wanazidi kupamba ligi kuu ya soka nchini Ujerumani, Bundesliga baada ya kuchezea ligi hiyo kwa miongo kadhaa tangu Ibrahim Sunday wa Ghana alipo weka historia kwa kuwa mwafrika wa kwanza kucheza katika ligi hiyo, akiiwakilisha Werder Bremen mnamo Juni 1976.
Bara la Afrika linazidi kuwasilisha wachezaji mahiri uwanjani huku majina maarufu katika historia ya soka la Afrika yakizidi kuhamia ligi hiyo na kuonyesha vipaji vyao katika Bundesliga.
Silas katompa mvumpa - Taifa - DRC - Club VfB Stuttgart
Edmond Tapsoba - Taifa - BurkinaFaso - Bayer Leverkusen
Sebastien Haller - Taifa - Cote D'ivoire - Borussia Dortmund
Nathan Tella - Taifa - Nigeria - Bayer Leverkusen
Bouna Junior Sarr - Taifa - Senegal - Fc Bayern Munich
Amine Adli - Taifa - Morocco - Bayer Leverkusen
Amadou Haidara - Taifa - Mali - RB Leipzig
Victor Okoh Boniface - Taifa - Nigeria - Bayer Leverkusen
Eric Choupo Moting - Taifa - Cameroon - Fc Bayern Munich