Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba ambao walikuwa bado hawajajiunga na kambi nchini misri wameshawasili nchini humo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.


Miongoni mwa wachezaji hao ni Jonathan Sowah, Mohamed Bajaber na wengine ambao wamesajiliwa na kutambulishwa hivi karibuni katika kikosi cha klabu hiyo.







wachezaji wengine tayari walishawasili kambini mapema wiki hii.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement