WACHEZAJI WA TAIFA STARS NDANI YA MAKKAH
Picha hizi ni za baadhi ya wachezaji na sehemu ya benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambao baada ya kumalizika mechi ya jana ya Kirafiki ya Kimataifa dhidi ya Sudan, wallenda kufanya ibada ya Umrah katika msikiti mtukufu wa Makkah ambao upo nchini Saudi Arabia.
Kutoka mji wa Al Taif ambako mechi ilichezwa kwenda mji ambao msikiti huu unapatikana ni mwendo wa saa