Hakika hatma ya Maisha yako unayo wewe mwenyewe huyu mwamba alikuwa Moja ya Wachezaji Wenye Profile Kubwa ndani ya Timu ya Taifa ya Bafana Bafana,

Anaitwa Lerato Chabangu raia wa Afrika Kusini Kwasasa umri wake ni miaka 38.Aliweza kutamba na vilabu mbalimbali kama Mamelodi Sundown, Marroka Swallow, Chippa United,

Mwaka 2005 Mwamba alikuwa ananafasi kubwa ya Kujiunga na Klabu ya Chelsea lakini alikataa dili hilo na Kuamua kujiunga na Mamelodi Sundown. Hivi karibuni aliulizwa kwanini alikataa kujiunga na 'The blues' alidai kuwa wakati huo alikuwa bado Kijana mdogo hivyo alihofia kutoka nje ya mipaka ya Afrika.

Kwasasa Mwamba ni kama unavyomuona hapo katika Picha ya Pili akiwa ni mtu wa tungi tu na anaonekana alishapoteza matumaini kabisa.

Kila kitu aliuza sasa Anaishi Na Mama Yake Mzazi 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement