WACHEZAJI 58 WENYE ASILI YA AFRIKA WATAKAO KUWA SEHEMU YA MASHINDANO YA EURO 2024 GERMANY
Wachezaji 58 wenye asili ya Africa watakua sehemu ya mashindano ya Euro 2024 nchini Germany.
Wachezaji 14 wenye asili ya Africa wataiwakilisha Ufaransa.
Brice Samba - DR Congo ๐จ๐ฉ
Ferland Mendy- ๐ธ๐ณ Senegal and Guinea-Bissau ๐ฌ๐ผ
Dayot Upamecano- Guinea-Bissau ๐ฌ๐ผ
Jules Koundรฉ - Benin ๐ง๐ฏ
William Saliba- Cameroon ๐จ๐ฒ
Ibrahima Konatรฉ - Mali ๐ฒ๐ฑ
Eduardo Celmi Camavinga -DR Congo ๐จ๐ฉ
Aurรฉlien Djani Tchouameni - Cameroon ๐จ๐ฒ
N'Golo Kantรฉ- Mali ๐ฒ๐ฑ
Youssouf Fofana - Mali ๐ฒ๐ฑ
Kylian Mbappรฉ Lottin - Cameroon ๐จ๐ฒ and Algeria ๐ฉ๐ฟ
Ousmane Dembรฉlรฉ - Mauritania ๐ฒ๐ท and Mali ๐ฒ๐ฑ
Randal Kolo Muani -DR Congo ๐จ๐ฉ
Bradley Barcola - Togo๐น๐ฌ
Wachezaji 9 wenye asili ya Africa wataiwakilisha Belgium.
Romelu Menama Lukaku Bolingoli ๐จ๐ฉ
Jรฉrรฉmy Baffour Doku ๐ฌ๐ญ
Ikoma-Loรฏs Openda ๐ฒ๐ฆ๐จ๐ฉ
Saint-Cyr Johan Bakayoko ๐ท๐ผ๐ฎ๐ช
Dodi Lukebakio Ngandoli ๐จ๐ฉ
Amadou Ba Zeund Mvom Onana ๐ธ๐ณ๐จ๐ฒ
Orel Johnson Mangala ๐จ๐ฉ
Youri Marion A. Tielemans ๐จ๐ฉ
Aster Jan Vranckx๐จ๐ฉ
Wachezaji 8 wenye asili ya Africa wataiwakilisha ๐๐ฐ๐ข๐ญ๐ณ๐๐ซ๐ฅ๐๐ง๐.
Yvon Landry Mvogo Nganoma ๐จ๐ฒ
Manuel Obafemi Akanji ๐ณ๐ฌ
Denis Lemi Zakaria Lako Lado ๐จ๐ฉ๐ธ๐ธ
Breel Donald Embolo ๐จ๐ฒ
Noah Arinzechukwu Okafor ๐ณ๐ฌ
Kwadwo Antwi Duah ๐ฌ๐ญ
Dan Assane Ndoye ๐ธ๐ณ
Mohamed Zeki Amdouni ๐น๐ณ
Wachezaji 6 wenye asili ya Africa wataiwakilisha England.
Bukayo Saka - Nigeria ๐ณ๐ฌ
Kobbie Boateng Mainoo - Ghana ๐ฌ๐ญ
Eberechi Eze - Nigeria ๐ณ๐ฌ
Marc Guรฉhi - Cote d'Ivoire ๐จ๐ฎ
Ezri Konsa - DR Congo ๐จ๐ฉ
Joe Gomez - The Gambia ๐ฌ๐ฒ
Wachezaji 5 wenye asili ya Africa wataiwakilisha German.
Antonio Rรผdiger๐ธ๐ฑ
Jamal Musiala ๐ณ๐ฌ
Jonathan Glao Tah๐จ๐ฎ
Benjamin Paa Kwesi Henrichs ๐ฌ๐ญ
Leroy Aziz Sanรฉ ๐ธ๐ณ
Sipati picha mafanikio ya timu za Ulaya yangekua vipi bila ya wachezaji wenye asili ya Africa kwenye timu zao.