Waamuzi watatu kutoka Tanzania Bara Ahmed Arajiga, Amina Kyando na Frank Komba wamechaguliwa kuwa miongozi mwa waamuzi watakaochezesha michuano ya Kombe la Muungano itakayoanza kutimua vumbi hapo kesho kwa mchezo mmoja KVZ dhidi ya Simba SC.

Katibu Mkuu wa Shirikisho wa Shirikisho la Soka Zanzibar “ZFF” Hussein Ahmada ameeleza kuwa michuano hiyo itaenda sambamba na maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano huku akiweka wazi mfumo mzima sambamba na kanuni za michuano hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement