“Najua Kwamba Klabu ya AL AHLY ni Kubwa sana lakini tumejipanga kupata Ushindi na naamini kikosi chetu cha SIMBA tunaweza kupata Ushindi” - Robertinho

“Huu Utakua Mchezo Mkubwa sana Barani Afrika, Tunaamini Kila Mtu Jicho lake litakua kwa Mkapa, ila Tumejipanga vizuri na Tunaamini Tutapata Matokeo Bora zaidi” - JOHN BOCCO

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement