Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limezindua kombe jipya la michuano ya (CHAN), PAMOJA 2024, katika ufichuzi ambapo imeshirikisha vigogo watatu wa soka barani Afrika - Victor Wanyama (Kenya), Denis Onyango (Uganda) na Mrisho Ngasa (Tanzania).


Hafla hiyo imefanyika zikiwa imebaki siku moja kabla ya kuanza kwa michuano hiyo ambayo inategemewakuvuta hisia za watu wengi Barani Afrika na Duniani.


Ikumbukwe CHAN, PAMOJA 2024 inaandaliwa pamoja na Kenya, Uganda, na Tanzania na itaanza kutimua vumbi Agasti 02 mpaka 30 mwaka huu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement