Beki wa klabu ya Liverpool Virgil van Dijk mpaka sasa amecheza mechi nne (4) mfululizo katika ligi kuu ya England na kufanikiwa kufanya aerial duel zote kwa usahihi.

▪️ 6/6 vs. Arsenal

▪️ 6/6 vs. Burnley

▪️ 2/2 vs. Brentford

▪️ 7/7 vs. Luton Town

Jumla ya Aerial Duels 21 beki wa Liverpool Virgil van Dijk amefanya katika mechi 4 mfululuzo za ligi kuu ya England



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement