Mwanamke ana nafasi kubwa sana katika jamiii, Mwanamke amekuwa mstari wa mbele katika malezi ya familia na jamiii kwa ujumla kwa hakika mwanamke anastahili kuvishwa taji kwa jinsi gani anaipambania jamii kwani sio kazi rahisi inahitaji ubunifu wa hali ya juu na hayo yamekuwa yafanywa na mwanamke.

Katika kutambua na kuthamini mchango wa mwanamke kwenye jamii na ndio maana iliandaliwa siku maalum ya mwanamke duniani ikiwa na lengo la kuwavisha mataji yao kwa jinsi wanavyopambana.

Leo hii tunatangaza rasmi kuzindua kampeni ya "TAJI LA MWANAMKE" ambae AMEUPIGA MWINGI..Ungana nasi katika kampeni hii ili kuweza kumuinua mwanamke

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement