Mkufunzi wa Chelsea Mauricio Pochettino na makocha wake hawajafurahishwa na mchezo wa fowadi wa Ukraine Mykhaylo Mudryk mwenye umri wa miaka 23 msimu huu na The Blues watakuwa sokoni kutafuta winga mpya msimu huu.

Chelsea inamlenga mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 25, msimu huu wa joto lakini klabu hiyo itahitaji kwanza kuuza wachezaji ili kupata fedha.

Arsenal na Chelsea wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney, 28, ambaye atagharimu hadi £40m msimu huu wa joto.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement