UTABIRI WA USHINDI WA PRISONS KUIFUNGA 2 SIMBA LEO
Tazama jinsi mashabiki wa klabu ya Prisons wakitamba kuifunga Goli 2 au zaidi klabu ya wekundu wa msimbazi Simba leo kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amethibitisha kwamba wamiliki wa klabu, Fenway Sports Group (FSG), wamelipa familia ya Diogo Jota kiasi kamili cha mkataba wake baada ya kifo cha mchezaji huyo mwanzoni mwa Julai.