TV3 TUTAKUWA NA KIPINDI MAALUM CHA AFCON 2023
Katika kipindi chote AFCON 2023 sisi tv3 tutakuwa na kipindi maalum ambacho kitakuwa kinafanya tathimini ya mashindano hayo Kila baada ya siku 3. Kwenye kipindi hiko kutakuwa na wachambuzi nguli na wabobezi mnaowafahamu ambao watakuwa wanakupa uchambuzi wa kile kinachoendelea katika mashindano hayo. skawa Msimamizi mkuu wa vipindi