2019 Timu ya taifa ya Algeria ilifanikiwa kunyakua ubingwa wa  AFCON.

2021 timu ya taifa ya Algeria ilitolewa AFCON katika hatua ya makundi.

2022 Timu ya taifa ya Algeria ilitolewa na timu ya taifa ya Cameroon kwenye mechi ya kusaka tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia.

2023 Timu ya taifa ya Algeria imetolewa katika hatua ya makundi ya AFCON.

Algeria wamekua na wakati mgumu sana tangu waliponyakua ubingwa wa Africa 2019 kwenye mashindano yote ambayo wamekua wakishiriki wanatolewa katika hatua za mapema.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement