Singida Fountain Gate FC 1-0 Namungo FC Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta kadi nyekundu walizoonyeshwa wachezaji Thomas Ulimwengu wa Singida Fountain Gate na Erasto Nyoni wa Namungo FC baada ya kujiridhisha kupitia Ushahidiwa picha jongeo na taarifa za wakufunzi wa waamuzi kuwa hawakustahili adhabu hiyo kwa kosa walilotenda.

Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 12:8 ya Ligi Kuu kuhusu Usimamizi wa Ligi.


mchezo kati ya Transit Camp FC 2-1 Pan African FC

Klabu ya Transit Camp imetozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwakosa la kuingia kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro kupitia mlango usio rasmi kuelekea mchezo tajwa hapo juu Machi 17, 2024.

Adhabu hii ni kwa kuzingatia Kanuni ya 17:21 na 17:60 ya Ligi ya Championship kuhusu Taratibu za Mchezo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement