Meneja habari na mawasiliano wa Azam Fc, Thabiti Zakaria ‘Zakazakazi’ amethibitisha kuwa klabu hiyo imepokea barua kutoka kwa mshambuliaji wake Prince Dube ya kutaka kuvunja mkataba.

Akitoa taarifa kwa umma Zaka amesema klabu imepokea barua hiyo na kumjibu kuwa anatakiwa kufuata utaratibu wa kuvunja mkataba.

Dube aliongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi 2026 mwishoni mwa msimu wa 2023/2024 na hivyo amebakiza miaka miwili.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement