TFF Wafarijika Kuingia Makubaliano Na NBC Kudhamini Ligi Ya Championship
“Ninayofuraha kusimama mbele yenu kwenye hafla hii ya NBC na Championship, TFF tumefarijika na ushirikiano wa NBC kwenye mpira wa miguu. Hii ni wazi kuwa tunakwenda kuboresha mpira wetu.”
“Hii ni kwa mara ya kwanza kuwa na Sponsor ambaye amebaba brand tatu. Kwetu (TFF) ni mafanikio. Tunawahakikishia kuwa tutalinda mahusiano haya kwa mujibu wa mikataba.”
“Tunatarajia ushindani utaongezeka na kuhakikisha hilo hivi karibuni tutatangaza Official Broadcaster Ligi ya NBC Championship.” Mkurugenzi wa Sheria Habari na Masoko (TFF) Boniface Wambura
Boniface Wambura - Mkurugenzi wa Sheria Habari na Masoko wa (TFF),