TFF Na Bodi Ya Ligi Watambulisha Logo Itakayotumika NBC Championship
Shirikisho la soka nchini TFF pamoja na Bodi ya ligi TPLB wamezindua rasmi logo ya ligi ya Championship katika makao makuu ya Benki ya NBC
Logo hiyo itaanza kutumika rasmi katika mechi za Championship katika msimu mpya.