'Presha' inazidi kuwa kubwa kwa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag, inadaiwa baadhi ya wachezaji wake hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya klabuni hapo kwa kuwa wanasubiri kujua mwelekeo wa ajira ya kocha huyo

Inadaiwa kuwa matokeo mabaya ya timu hiyo yanaweza kuwa kikwazo kwa Ten Hag kuendelea kubaki msimu ujao. Tetesi zilizopo ni kuwa kuna uwezekano akafukuzwa kazi mwishoni mwa msimu huu 2023/24

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement