Baada ya kupoteza mchezo wa jana katika michuano ya UEFA Manchester united itakua imepoteza michezo 9 kati ya 17 iliyo cheza

Kocha wa United Erick Ten Hag awavaa waamuzi wa mchezo huo Ten hag amesema mchezaji wake hakustaili kadi nyekundu na pia bao la kwanza la mchezaji wa Copenhagen halikustahili kwani alikua katika nafasi ya kuotea lakini muamuzi ameshindwa kufanya maamuzi sahihi

Erik Ten Hag: " kwenye bao la kwanza la Copenhagen kuna mchezaji mbele ya André Onana katika nafasi ya kuotea Mchezo haukusudiwi kuwa hivi”

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement