Taifa la marekani limeendelea kufanya vizuri Olympic kwa kuendelea kutawala kushinda medali nyingi mpaka sasa kuliko taifa lolote lile pale Paris 

Mpaka sasa marekani wameshinda jumla ya medali 71 ambazo ukizigawanya Gold 19, Silver 26 na Bronze 26 huku taaifa linalo fuatia kwa ukaribu ni China ambazo ni Jumla ya medali 45 ambapo ukizigawa ni Gold 19, Silver 15 na Bronze 11 Lakini mataifa yanayo fuata ni Wenyeji France, Australia, Great Britain,Korea,Japan, Italy, Netherland na South Africa.

Kutokea Africa mpaka sasa nchi ya south Africa ndio inawakilisha vyema bara la Africa kwa kuchukua jumla ya medali 4 ambazo ni Gold 1, Silver 1 na Bronze 2 

Idadi hizi za medali ni kwa baadhi ya michezo ambayo imeshafanyika huku tukisubiri baadhi ya michezo ambayo itatoa taswira taifa gani kwa mataifa ambayo yatafanya vizuri Zaidi

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement