Klabu ya Stand United imepewa Onyo Kali kwa kosa la kuchelewa kufikakwenye uwanja wa Mwadui Complex kuelekea mchezo tajwa hapo juu.Stand United iliwasili uwanjani saa 7:18 mchana badala ya saa 6:30mchana kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:15 ya Championshipkuhusu Taratibu za Mchezo.

Onyo hili ni kwa kuzingatia Kanuni ya 17:60 ya Ligi ya Championshipkuhusu Taratibu za Mchezo.

Mechi Namba 126: Biashara United FC 2-0 Mbuni FC

Klabu ya Mbuni imepewa Karipio kwa kosa la kuchelewa kufika kwenye uwanja wa Karume, Mara kuelekea mchezo tajwa hapo juu.

Mbuni iliwasili uwanjani saa 7:00 mchana badala ya saa 6:30 mchana kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:15 ya Championship kuhusu Taratibu za Mchezo.

Karipio hili ni kwa kuzingatia Kanuni ya 17:60 ya Ligi ya Championship kuhusu Taratibu za Mchezo.

Mechi Namba 120: Stand United FC O-4 Mbuni FC

Klabu ya Stand United imepewa Karipio kwa kosa la kuchelewa kufika kwenye uwanja wa Mwadui Complex kuelekea mchezo tajwa hapo juu. Stand United iliwasili uwanjani saa 6:46 mchana badala ya saa 6:30mchana kama ilivyoainishwa kwenye Kanuni ya 17:15 ya Championship kuhusu Taratibu za Mchezo.

Karipio hili ni kwa kuzingatia Kanuni ya 17:60 ya Ligi ya Championship kuhusu Taratibu za Mchezo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement