Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone ameongeza mkataba wake na klabu hiyo ya La Liga hadi Juni 2027.

Muargentina huyo aliteuliwa kushika nafasi hiyo mwezi Desemba 2011 na ameshinda mechi 380 kati ya 642 alizocheza.

Simeone ameiongoza timu hiyo kutwaa mataji manane na ndiye meneja aliyefanikiwa zaidi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement