Licha ya Mbappe kufunga goli 3 na kuisaidia PSG kushinda mechi yake dhidi ya Strasbourg kwenye ligio kuu ya Ufaransa lakini kocha luis Enrique hakupendezwa na kiwango hicho

"Sina furaha sana na Kylian leo", kocha wa PSG alisema.

"Sina la kusema kuhusu mabao lakini tunataka zaidi kutoka kwa mchezaji wa kiwango cha juu kama Mbappé".

"Anaweza kuisaidia timu zaidi, kwa njia tofauti. Yeye ni mmoja wa wachezaji bora zaidi ulimwenguni, tunataka zaidi ".

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement