Kuanzia mwaka 2012 klabu ya Simba Sc imecheza jumla ya mechi 23 na timu ya Tanzania Prisons Fc.

Klabu ya Simba Sc Imefanikiwa kupata matokeo ya Ushindi katika mechi nyingi zaidi katika idadi ya mechi hizo ambazo wamekutana.

▪️Mechi - 23

▪️Simba Wameshinda - 14

▪️Tanzania Prisons wameshinda - 5

▪️Sare - 5

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement