Msimu huu Simba wana uchungu mkubwa kutokana na kile kipigo cha bao 5-1 kwa moja ambacho wamekipata kutoka kwa Yanga Novemba 5 mwaka jana.

Kwa mtindo ambao Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF linautumia kupanga timu ambazo zitakutana hatua ya Robo Fainali ni kwamba timu kutoka Taifa zinaweza kukutana.

Ikitokea leo Yanga wanapata ushindi mbele ya Al Ahly kule nchini Misri basi anaweza kukutana na Simba kwenye Robo fainali ya CAFCL kama tu Simba nao watafuzu siku ya Jumamosi kwa kumfunga Jwaneng Galaxy.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement