Tazama baadhi ya mashabiki wa Mnyama, Wekundu wa Msimbazi SIMBA Wakitamba kuifunga klabu ya Tanzania Prisons leo kwenye dimba la Sokoine

Mashabiki hawa wanaamini leo wanaondoka na Ushindi wa Goli 3 na siku zote ligi kuu Tanzania Bara sio level zao, wao wamezoea michuano ya kimataifa kwa sasa

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement