Shirikisho la Soka Visiwani Zanzibar (ZFF) limeweka wazi kuwakurejea kwa Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na kati maarufu kama KAGAME CUP kutarejesha hadhi na nguvu yaushiriki wa Timu za Tanzania kunako Michuano ya Kimataifa.

Tumezungumza na Katibu Mkuu wa ZFF Hussein Vuai ambaye ameeleza kuwa ushiriki wa Klabu kutoka mataifa mbalimbali kutoka nje ya Tanzania itakuwa ni fursa kwaajili ya maandalizi ya Klabu zetu kuelekea Michuano ya Ligi ya Mabingwa sambamba na Shirikisho Afrika.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement