Shaun Bartlett Atupiwa Virago Cape Town Baada Ya kupoteza Mechi Saba Ligi Kuu Ya Afrika Kusini
Klabu ya Cape Town inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini imemtupia virago alitekua kocha wao mkuu Shaun Bartlett
Sababu kuu ya kocha Shaun Bartlett kutimuliwa ni kutokua na muenelezo mzuri wa upataji wa matokeo
Cape Town imepoteza mechi 7 za ligi kuu walizocheza msimu huu mpaka sasa.
▪️0-1 vs TS Galaxy
▪️0-2 vs Sekhukhune
▪️1-3 vs Polokwane
▪️0-1 vs Chippa
▪️1-3 vs Swallows
▪️1-2 vs Arrows
▪️1-3 vs Cape Town City