Nyota maarufu wa soka wanaochezea katika Ligi kuu ya Saudi, wakiongozwa na Cristiano Ronaldo, Neymar, Karim Benzema, Sadio Mane na Rakitic walijiunga katika sherehe za siku ya kuanzishwa kwa Saudia kwa kujipamba kwa mavazi ya Jadi ya Saudi, kama ishara ya ujumuishaji na heshima kwa mila tofauti ndani ya ligi hiyo.

Aidha, nyota wa zamani wa Liverpool na kocha Maarufu Steven Gerrard wa Al-Ettifaq, naye alijiunga na wachezaji kwa kuvaa mavazi ya Jadi ya Saudi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement