Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaifanya Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga

Magoli yaliyoamua mechi ya Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa City na Alexis Mac Allister kwa Liverpool


Baada ya matokeo hayo, Arsenal inaongoza ikiwa na pointi 64 sawa na Liverpool wakati Man. City ipo nafasi ya tatu kwa kuwa na alama 63, timu zote zikisaliwa na michezo 10 kukamilisha msimu wa 2023/24 katika EPL

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement