Mwandishi Mkongwe na Shabiki wa klabu ya Simba SC Salim Kikeke ndiye anatarajiwa kuwa mshereheshaji katika shughuli ya Ufunguzi wa mashindano ya African Footbal League baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Benjamin Mkapa kesho majira ya Saa kumi na Mbili jioni

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement