Hii ndiyo safari ya kuelekea kwenye fainali na mechi ya kumsaka mshindi wa tatu katika mashindano ya AFCON 2023


Final

Nigeria vs Cote D'Ivore

February 11,2024

Stade Allasane Ouatarra

Saa 5:00 Usiku


Mshindi wa Tatu

South Africa vs DR Congo

February 10,2024

Felix Houphouet - Boigny

Saa 5:00 Usiku


Utazishuhudia mechi hizi mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz katika muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya kiswahili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement