Taarifa Rasmi zinasema Mshambuliaji wa Zamani wa Liverpool na Bayern Munich Sadio Mané amenunua isa nyingi zaidi za Timu ya Bourges Foot 18 fc ambayo inashiriki French National 2 Cigi (Daraja la nne) na sasa anakuwa Mmiliki Mkuu Rasmi wa Timu hiyo Inatajwa

Mane amenunua Timu hiyo sababu anampango wa kuwapa Nafasi wachezaji wengi wa Senegal Wenye Vipaji kupata Daraja la Kwenda Kucheza Ulaya.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement