Lamine Yamal aliweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kucheza katika hatua ya mtoano ya ligi ya Mabingwa Barani Ulaya 'UEFA' alicheza mechi hiyo akiwa na umri wa miaka 16 na siku 223.

Pepe anaingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kuanza kikosini kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa Barani Ulaya 'UEFA' katika hatua ya mtoano na amecheza akiwa na umri wa miaka 40 na siku 360.

Lamine Yamal alizaliwa miaka 2 baada ya Pepe kucheza mechi yake ya kwanza ya hatua ya mtoano.



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement