Mshambuliaji wa kimataifa wa Portugal Cristiano Ronaldo ndiyo mchezaji wa mwisho kufunga goli la ushindi katika klabu ya Manchester United kwenye mechi za ligi ya Mabingwa Barani Ulaya "UEFA"

Cristiano Ronaldo anahudumu katika klabu ya Al Nassr inayoshiriki ligi kuu ya Saudi Arabia pia ndiyo anaongoza kwenye msimamo wa wafungaji bora akiwa amefunga jumla ya magoli 10.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement