Asamoah Gyan ndiyo anashikilia rekodi ya kuwa mwanasoka pekee wa Afrika aliyefunga mabao mengi zaidi kwenye Kombe la Dunia.

Mechi - 11

Magoli - 6

Assist - 3

Asamoah Gyan alifunga bao la kwanza kabisa la Ghana kwenye kombe la dunia kwenye mchezo dhidi ya Czech Republic 2006

Asamoah Gyan alifunga bao la mapema zaidi kwenye kombe la dunia la 2006 na alitunia sekunde 68 pekee.

Asamoah Gyan ana mabao mengi zaidi ya Kombe la Dunia kama Ronaldinho + Kaka + Juninho + Robinho kwa ukumla wao.

Asamoh Gyan alikosa Penalty ambayo ingeifanya timu yake ya Taifa ya Ghana ifuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Dunia

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement