Michezo mitatu kuchezwa Leo hii katika muendelezo wa ligi ya NBC CHAMPIONSHIP LEAGUE mzunguko wa 27.

Cosmopolitan Fc Vs Mbeya kwanza Fc

Uwanja wa Mabatini - Pwani

Saa 8:00 mchana

Live on tv3


Copco Fc Vs FGA Talent Fc

Uwanja wa Nyamagana - Mwanza

Saa 10:00 jioni

Live On tv3


Pan Africans Fc Vs Ruvu Shooting Fc

Uwanja wa Mabatini - Pwani

Saa 10:00 jioni

Live On tv3




You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement