RATIBA YA MZUNGUKO WA SITA NBC CHAMPIONSHIP 2023/2024
Ratiba ya mechi za mzunguko wa sita katika ligi ya NBC Championship
Utazishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz kwa muonekano Ang'avu "HD"
Matangazo ya moja kwa moja yatasikika kwa lugha Adhimu ya Kiswahili