Ratiba Ya Mzunguko Wa Nne NBC Championship League
Ratiba ya mechi za mzunguko wa nne katika ligi ya NBC Championship
Utaishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz kwa muonekano Ang'avu "HD"
Matangazo ya moja kwa moja yatasikika kwa lugha Adhimu ya Kiswahili.