Ratiba ya mechi za January 20,2024 katika muendelezo wa mechi za mzunguko wa kumi na nane (18) katika ligi ya NBC Championship


Mbuni Fc vs Pan Africans Fc

Saa 8:00 Mchana

Sheikh Amri Abeid Stadium - Arusha


Pamba Jiji Fc vs Stand United Fc

Saa 10:00 Jioni

Nyamagana Stadium - Mwanza


Mbeya City Fc VS Mbeya Kwanza Fc

Saa 10:00 Jioni

Sokoine Stadium - Mbeya


Utazishuhudia mechi hizi mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo @tv3tz katika muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya Kiswahili


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement