RATIBA YA MZUNGUKO WA ISHIRINI NA NNE NBC CHAMPIONSHIP
Ratiba ya mechi za mzunguko wa ishirini na nne (24) katika muendelezo wa mechi za ligi ya NBC Championship
Utazishuhudia mechi hizi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang'avu kwa lugha Adhimu ya Kiswahili