Ratiba ya Mechi za Ijumaa October 13,2023 NBC Championship League


Mbeya City Fc VS CosmoPolitan Fc

Saa 8:00 Mchana

October 13,2023

Sokoine Stadium - Mbeya


Polisi Tanzania Fc VS Stand United Fc

Saa 10:00 Jioni

October 13,2023

Ushiriia Stadium - Kilimanjaro


Utazishuhudia mechi hizi mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo TV3 kwa muonekano Ang'avu "HD"

Matangazo ya moja kwa moja yatasikika kwa lugha Adhimu ya Kiswahili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement