Rais wa Shirikisho la Soka Nchini “TFF” ameweka wazi mikakati ya kuuboresha na kuupa hadhi Uwanja wa Ali Hassan mwinyi Mkoani Tabora kwa lengo la kutumika hata na mashindano mbalimbali ya Kimataifa.

Rais Karia amezungumza hayo alipokutana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambapo ametoa pongezi pia kwa mashabiki wa Mkoa huo kwa kuendelea kuunga Mkoano Klabu yao kuanzia ilipokuwa Championship mpaka kushiriki Ligi kuu kwa msimu uliopita na kuendelea kusalia kunako Ligi hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement