Mashindano maarufu ya magari, World Rally Championship yameanza nchini Kenya, Safari Rally Kenya itafanyika kutoka 28 hadi 31 Machi 2024. Mbali na kuwasisimua mashabiki, mashindano haya yanauza utalii wa Kenya.

Rais wa Kenya William Ruto amezindua toleo la 71 la Safari Rally jijini Nairobi, Alhamisi. Tukio hilo la kimataifa la siku tatu ni raundi ya tatu ya Mashindano ya Dunia ya FIA ya mwaka huu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement